iqna

IQNA

Sura za Qur'ani Tukufu / 52
TEHRAN (IQNA)- Mengi yamesemwa kuhusu akhera na maisha baada ya kifo na miongoni mwa imani kuu juu yake ni ile ya watu wa dini hasa Waislamu wanaoamini kuwa matendo ya kila mtu yatapimwa Siku ya Kiyama na kwa kuzingatia tathmini hiyo atakwenda ama peponi au motoni.
Habari ID: 3476334    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/31